Ujazo: Gram 100 Tsh 10,000

Ni kiungo pekee ambacho kimetokea kupendwa na wengi kwa sababu utumiapo Tosha tea inakuondolea ulazima wa kutumia kitu chochote kama sukari kinacho ongeza utamu.

maelezo

Ni kiungo pekee ambacho kimetokea kupendwa na wengi kwa sababu utumiapo Tosha tea inakuondolea ulazima wa kutumia kitu chochote kama sukari kinacho ongeza utamu.

matumizi

Kazi kubwa ya kiungo hiki ni tiba asilia ya magonjwa mbalimbali kama kisukari,Presha uzito mkubwa nk Ndani ya HeA tunakitumia kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kukata njaa na kukufanya uunguze mafuta katika kiwango kikubwa.

Close Menu