Ujazo: Gram 500 Tsh 10,000

Unga huu unatokana na kusaga mbegu za maboga

Kitambi

Una kiwango kingi sana cha madini ya magnesium,zinc na selenium. Pia mbegu hizi zina kiwango kingi cha fiber mbadala wa nafaka na ngano hasa anayetekeleza Sayansi ya Mapishi.

matumizi

Unaweza kutumia unga huu kufanya mapishi ya Keki, chapati ambazo zitakusaidia kuondoa kitambi

matibabu

Kisukari, Presha Pumu uzito mkubwa nk

Close Menu