Ujazo : Gram 250 Tsh 13,000/-

Unga huu unatokana na nazi baada ya kukaushwa na kusagwa hapa hapa Tanzania.

maelezo

Unga huu tunautumia kwa sababu ya kiwango kizuri cha mafuta,kukata njaa na una kiwango kingi cha fiber na ni rafiki kwa walio katika maboresho ya lishe kwa sababu una wanga kidogo sana huwezi linganisha na ngano na nafaka

matumizi

Kupikia keki,mikate na unaweza kuweka katika pishi lolote kama kuongeza ladha na utamu

matibabu

Unamfaa: Kisukari, Presha Pumu uzito mkubwa nk

Close Menu