Ujazo: Gram 250 Tsh 8,000/-

Mbegu zenye umaarufu mkubwa sana kutokana na maajabu yake katika kurudisha afya mgonjwa aliyedhoofika sana na kuteseka na mgonjwa ya lishe.

maelezo

Ubora wake unatokana na kiwango kingi cha mafuta ya omega 3 yenye kutibu uharibifu wa mwili haraka sana. Zina kiwango kingi cha fiber husaidia kukata njaa na uroho wa vyakula na zitakusaidia kupungua kwa uharaka kama unashindwa kupungua kirahisi.

matumizi

Changanya kwenye vinywaji vyako,Maziwa fresh,mtindi,maji ya moto,maji ya baridi na anza siku yako kama kifungua kinywa Unaweza kuchanganya kwenye mapishi yako ya mkate wa almonds,pumpkin na nazi.

matibabu

Unamfaa: Kisukari, Presha Pumu uzito mkubwa nk

Close Menu