Chia seeds Ujazo: Gram 250 Tsh 8,000/-

Karanga zenye umaarufu mkubwa duniani wa kutibu uharibifu uliofanywa na lishe mbovu katika mwili wa binadamu.

maelezo

Ubora wake unatokana na kiwango kingi cha mafuta ya omega 3 yenye kutibu uharibifu wa mwili haraka sana. Zina kiwango kingi cha fiber husaidia kukata njaa na uroho wa vyakula na zitakusaidia kupungua kwa uharaka kama unashindwa kupungua kirahisi.

matumizi

Changanya kwenye vinywaji vyako,Maziwa fresh,mtindi,maji ya moto,maji ya baridi na anza siku yako kama kifungua kinywa Unaweza kuchanganya kwenye mapishi yako ya mkate wa almonds,pumpkin na nazi.

matibabu

Kisukari, Presha Pumu uzito mkubwa nk

Close Menu