Almond seeds Ujazo: Gram 250 Tsh 10,000/-

Karanga zenye umaarufu mkubwa duniani wa kutibu uharibifu uliofanywa na lishe mbovu katika mwili wa binadamu.

Maelezo

Zina kiwango kingi cha mafuta mazuri omega 3,Madini mengi ya Zinc, na magnesium. Zina kiwango kidogo cha wanga na vinauwezo mkubwa kutoa tiba kwa watu wenye magonjwa ya lishe na kukupatia nafuu haraka.

Matumizi

Karanga hizi unaweza kutafuna kila siku kikanga kimoja asubuhi kama kifungua kinywa au unaweza kusaga ukachanganya na maji ya moto,vuguvugu na maziwa ukanywa kila asubuhi.

Zinafaa kwa wenye

Kisukari,Uzito mkubwa,Magonjwa ya moyo,Pumu na Upungufu wa nguvu za kiume

Close Menu