Gram 250 Tsh 15,000/-

Unga huu umetokana na kusaga karanga aina ya Almonds zenye umaarufu mkubwa duniani wa kutibu uharibifu uliofanywa na lishe mbovu katika mwili wa binadamu.

maelezo

Zina kiwango kingi cha mafuta mazuri omega 3,Madini mengi ya Zinc, na magnesium. Zina kiwango kidogo cha wanga na vinauwezo mkubwa kutoa tiba kwa watu wenye magonjwa ya lishe na kukupatia nafuu haraka.

matumizi

Kupikia mikate ya almonds,keki, donuts kwa wagonjwa Changanya kwenye Kinywaji chako chochote, maziwa fresh,mtindi, maji ya moto nk Kutengeneza Uji wa almonds

unafaa kwenye

Kisukari,Uzito mkubwa,Magonjwa ya moyo,Pumu na Upungufu wa nguvu za kiume Package: Gram 250 Tsh 15,000/-

Close Menu