Ujazo: Gram 100 Tsh 5,000/-

Ni kiungo pekee ambacho kimetokea kupendwa na wengi kwa sababu utumiapo Tea masala inakuondolea ulazima wa kutumia kitu kingine ili kuongeza kunukia na ladha ya kinywaji chako. Ni mchanganyiko wa viungo vyenye maajabu makubwa mwilini kama Tangawizi,mdalasini,karafuu,iliki nk. Upekee ni kunukia vizuri na kukolea kwake katika kinywaji.

maelezo

Kazi kubwa ya kiungo hiki ni tiba asilia ya magonjwa mbalimbali kama kisukari,Presha uzito mkubwa nk Ndani ya HeA tunakitumia kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kukata njaa na kukufanya uunguze mafuta katika kiwango kikubwa. Ujazo: Gram 100 Tsh 5,000

matumizi

Tumia katika kinywaji chako chochote cha moto Huenda kusuuza mfumo wa chakula kwa walio athiriwa na lishe mbovu.

Close Menu